Posted on: February 15th, 2021
SHIRIKA la ndege Tanzania ATCL linaanza kuleta ndege na kutua kwenye uwanja wa Songea mkoani Ruvuma kwa mara ya kwanza Februari 17 mwaka huu.Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Songea Jordan Mchami ...
Posted on: February 11th, 2021
WAKULIMA mkoani Ruvuma wamefanikiwa kuingiza zaidi ya shilingi bilioni 25 baada ya kuuza kilo 12,234,757 ya zao hilo kupitia mfumo wa stakabadhi ya mazao ghalani kuanzia msimu wa mwaka 2018/2019 hadi ...