Posted on: September 15th, 2022
MUONEKANO wa Madarasa 2 shule ya Sekondari Lipupuma ambapo serikali ilitoa shilingi milioni 25 kutekeleza ujenzi huo wa madarasa hayo na Ujenzi Umekamilika
...
Posted on: August 16th, 2022
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas amewaagiza Wakuu wa Wilaya kusimamia Mbolea za Ruzuku na kuhakikisha zinawafikia wakulima kwa haki.
Hayo amezungumza alipozungumza na wananchi wa Kijiji ch...
Posted on: August 16th, 2022
WAZIRI wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti Utumishi wa Umma na Utawa Bora Jenista Mhagama amezindua Hotel ya Kisasa ya Canopies.
Uzinduzi huo wa Hotel umefanyika katika Kata ya Seed Ferm Manisp...