Posted on: October 11th, 2023
WAKALA wa Barabara vijijini (TARURA) wameanza kutengeneza barabara yenye kilomita 1.2 kutoka njia panda ya kwenda ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kwa kiwango cha lami.
Men...
Posted on: October 9th, 2023
WANANCHI ifinga wamejiwekea mradi wa banki tofari 400,000 kwaajili ya ujenzi wa miradi ya serikali.
Kamati ya Siasa Mkoa wa Ruvuma wametembelea Kijiji cha Ifinga kata ya Matumbi n...
Posted on: October 9th, 2023
MWENYEKITI wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Ruvuma Komred Oddo Mwisho amekabidhiwa vitanda 20 vilivyotolewa na mwekezaji wa Kijiji cha Ifinga kampuni ya Mufindi Woodpoles planting and Timber Ltd.
Awadhi ...