Posted on: January 9th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwafundisha kwa vitendo somo la hisabati wakati alipotembelea na kukagua wanafunzi wa walioripoti katika shule mpya ya msingi Lipupuma iliyopo Halmashauri ...
Posted on: January 9th, 2024
HALMSHAURI ya Wilaya ya Madaba kwa kipindi cha mwaka wa Fedha 2021/2022 hadi 2023/2024 Serikali ya awamu ya Sita imetoa zaidi ya shilingi Bilioni 2 Kwaajili ya uteekelezaji wa Miradi ya maendeleo divi...
Posted on: January 9th, 2024
HALMASHAURI ya Wilaya ya Madaba imepokea zaidi ya shilingi Bilioni 8 kutoka Serikali kuu kwaajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta ya Elimu Msingi Elimu Sekondari ,Afya na Utawala.
...