Posted on: November 21st, 2022
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Madaba Theophanes Mlelwa amefanya mkutano na wananchi wa Kata ya Lituta kwa lengo la kusikiliza kero zao na kuhakikisha zinatatuliwa.
Akizungumza katika Mkutano huo Mwe...
Posted on: November 16th, 2022
HALMASHAURI ya Madaba imeandikisha Wakulima 20,336 kwaajili ya zoezi la ununuzi wa mbolea ya Ruzuku hadi kufikia sasa wakulima waliosajiliwa kwa alama za vidole ni 12,881.
Hayo amesema ...
Posted on: November 16th, 2022
Mkoa wa Ruvuma umefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 21 kutokana na madini ya makaa ya mawe katika kipindi cha mwaka 2021/2022.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thoma...