Posted on: January 15th, 2024
HALMASHAURI ya Wilaya ya Madaba imepokea Fedha kiasi cha Shilingi Milioni 128 kutoka Serikali kuu kwaajili ya ujenzi wa Bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu shule ya msingi Madaba.
Bweni hilo ...
Posted on: January 12th, 2024
Kuanzia shule zilipofunguliwa Januari 8,2024 Halmshauri ya Wilaya ya Madaba wanafunzi walioripoti kuanza darasa la kwanza Mwaka 2024 wamefikia 1258 sawa na asilimia 85.64
Taarifa hiyo...