• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MAFUNZO ya Sensa kwa Makarani na Wasimamizi wa Maudhui yameanza rasmi Ruvuma

Posted on: August 1st, 2022

MAFUNZO ya Sensa ngazi ya Wilaya kwa awamu ya tatu yameanza rasmi Mkoani Ruvuma kwa Makarani na wasimamizi wa Maudhui.

Hayo ameyasema Mratibu wa Sensa wa Mkoa wa Ruvuma Mwantumu Athumani baada ya kutembelea katika Halmashauri ya Songea na Manispaa ya Songea .

“Mafunzo Ngazi ya tatu yameanza na yatafanyika kwa siku 19 kila siku bila kupumzika na kuhusisha nadharia na vitendo”.

Mratibu amesema mafunzo hayo yamejumuisha na watendaji kata kwa siku mbili ili wakahakikishe wanafanya uhamasishaji kwa wananchi.

Hata hivyo ametoa rai kwa wananchi wote wa Mkoa wa Ruvuma wawe tayari kuhesabiwa ikiwemo kupata taarifa za watu watakaolala kwenye kaya ikiwa ni pamoja na wageni wahesabiwe mara moja tu.

Aidha mratibu amesema wananchi wahakikishe wanaweka vitamburisho vya Taifa, vya kupigia kura pamoja na vya ujasiliamali viandaliwe ikiwa moja ya karani afikapo kuchukua taarifa aweze kuchukua taarifa kwa urahisi.

Kwa Upande wake Mtendaji kata ya Fedeferm Manispaa ya Songea Afidhi Bakariamesema zoezi la Sensa na watu na Makazi kwa mara ya kwanza linafanyika kwa mfumo wa kidigitali hivyo Serikali imewekeza fedha nyingi.

Bakari ametoa rai kwa Watendaji  Kata wote Nchini  washiriki mafunzo na watambue kinachoenda kufanyika katika Kata na Mitaa  yote.

“Watendaji wenzangu tuhakikishe watu wote katika Kata na Mitaa wanahesabiwa itakuwa si busara  watu wakashindwa kuhesabaiwa kwa sababu Serikali imewekeza Fedha nyingi”.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Julai 31,2022.

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa