Posted on: January 23rd, 2024
Shirika la Standing Order Voice Tanzania litatatoa huduma ya kliniki ya watu wenye ualbino pamoja na kugawa mafuta,kofia, na Miwani Januari 24,2024...
Posted on: January 23rd, 2024
SERIKALI imeleta Fedha kiasi cha shilingi Milioni 128 kwaajili ya Ujenzi wa Bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika Shule ya Msingi Madaba Halmashauri ya Madaba.
Akitoa taarifa hiyo Mkuu w...
Posted on: January 23rd, 2024
Kamati ya Fedha Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wametembelea na kukagua miradi mbalimbali ukiwemo mradi wa soko linalojengwa kwa mradi wa TASAF kwa shilingi Milioni 190.
Akisoma taarifa hiyo Mtenda...