Posted on: October 29th, 2024
Mgombea wa Kitongoji cha Mkelema kijiji cha Lilondo kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) amechukua fomu leo tarehe 29,Oktoba 2024....
Posted on: October 27th, 2024
Msimamizi msaidizi wa uchaguzi kijiji cha Wino Kata ya Wino halmashauri ya Wilaya ya Madaba Hamis Salum amekabidhi fomu ya ugombea wa uenyekiti wa kijiji kwa Benitho Winfred Mbilinyi  ...
Posted on: October 28th, 2024
Timu ya Menejimenti halmashauri ya Wilaya wa Madaba imepewa mafunzo ya kanuni ya usimamizi wa mikopo ya asilimia 10.
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo Sajidu Idrisa Mohamed ...