Posted on: January 12th, 2024
Kuanzia shule zilipofunguliwa Januari 8,2024 Halmshauri ya Wilaya ya Madaba wanafunzi walioripoti kuanza darasa la kwanza Mwaka 2024 wamefikia 1258 sawa na asilimia 85.64
Taarifa hiyo...
Posted on: January 11th, 2024
WALIMU wa Awali na Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Mkoa wa Ruvuma wamepewa mafunzo ya Mitaala iliyoboreshwa.
Afisa Elimu Kata ya Mahanje Ruthness Mbuba akizungumza katika mafunzo hayo ...
Posted on: January 10th, 2024
MAAFISA uchunguzi kutoka ofisi ya Mkoa wa Ruvuma (PCCB) wametoa mafunzo ya usimamizi wa Miradi kupitia Force account kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.
Mafunzo hayo yameongozwa na Af...