Posted on: May 23rd, 2023
MKURUGENZI Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed ametembelea eneo la ujenzi wa madarasa 8 na jengo la utawala utakaogharimu shilingi milioni 331,600,000/= za mradi wa Boost.
...
Posted on: May 23rd, 2023
SERIKALI imeleta shilingi Milioni 114 kwaajili ya ujenzi wa nyumba ya Mwalimu katika Shule ya Sekondari Wino Halmashauri ya Madaba.
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo Sajidu Idrisa Mohamed &nb...
Posted on: May 19th, 2023
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Teofanes Mlelwa amewasisitiza Waheshimiwa Madiwani Kusimamia Miradi ya Boost.
Hayo ameyasema katika kikao cha Baraza la Madiwani cha robo y...