• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

WAKULIMA Ruvuma wajifunza teknolojia mpya

Posted on: August 5th, 2022

MKUU  wa Mkoa wa Ruvuma Kanali. Laban  Thomas akiwakilishwa na Mganga Mkuu wa Mkoa Louis Chomboko amezindua maonesho ya Nane nane.

Akizungumza katika viwanja vya nanenane Mkoani hapo Chomboko amesema Ruvuma ni miongoni mwa Mikoa saba inayozalisha Mazao ya Chakula na kuongoza kwa miaka mitatu mfululizo.

"Kutokana na uwingi huo wa mazao Mkoa kwa kushirikiana na wizara ya kilimo inampango wa kujenga Maghala 31 kwa ajili ya kuhifadhia Chakula yenye Jumla ya ujazo wa Tani 31 elfu ambapo kila ghala litakua naujazo wa tani elfu moja"

Chomboko ametoa rai kwa wananchi kuendelea kufuga mifugo kama kuku, Nguruwe,Mbuzi na kufanya jitihada za kuongeza mabwawa ya Samaki ili kuboresha lishe nakuongeza kipato.

Mganaga mkuu amewaomba wakulima waweze kushirikiana namabenki ili waweze kujipatia Mikopo itakayowawezesha kulima kwa tija na ufugaji bora.

Chomboko  ametoa rai kwa mabenki kuweka vigezo vinavyoweza kuwaruhusu wakulima na  kuwafikia pamoja na  kupata elimu ya miradi pamoja na mitaji"

Chomboko amewashukuru  wananchi kwa kushiriki katik Uzinduzi  huo na kuwaomba washiriki katik zoezi la Sensa ya watu na namakazi  ifikapo Agosti 23,2022.

Afisa kilimo wa Mkoa wa Ruvuma akimwakilisha Katibu Tawala Msaidizi  Uchumi na Uzalishaji  Onesmo Ngao amesema maonesho hayo yanalengo la kuwawezesha wakulima wa Mkoa wa Ruvuma kupata Elimu ya ili waweze kulima kwa Tija pamoja na kujifunza Teknolojia mbalimbali.

Ngao amesema maonesho hayo yatakuwa kwa mda wa siku nane na yatapelekea wakulima kupata maarifa ya kilimo pamoja na  ufugaji.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde  na Janeth Ndunguru

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Agosti 4,2022.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa