Posted on: April 10th, 2024
MAREHEMU Methelina Ntumbili aliyekuwa Muuguzi wa Kituo cha Afya Madaba amepumzishwa leo majira ya mchana katika makabri ya Madaba.
Marehemu Ntumbili alizaliwa Septemba 15,1966 na umauti...
Posted on: April 8th, 2024
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wanamshukuru Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha za miradi ya maendeleo katika sekta ya Elimu Sekondari na kujenga shule mpya Lilondo....