Posted on: January 8th, 2024
MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile ametoa rai kwa viongozi wa Halmshauri kuhakikisha watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Lilondo wanaripoti shuleni.
Mku...
Posted on: January 8th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas amelaani vikali wananchi wanaosababisha kukatisha masomo ya wanafunzi kwa kuwapa mimba za utotoni.
Mkuu wa Mkoa amesema hayo alipotembea...
Posted on: January 8th, 2024
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas ametoa rai kwa viongozi wa Halmashauri kuhakikisha wanapanda miti ya Matunda katika Mazingira ya Shule.
Hayo amezungumza alipotembelea shule Mpya ya Msingi...