Posted on: July 20th, 2025
Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu (2 in 1) katika Shule ya Sekondari Lilondo, iliyopo Kata ya Wino, Halmashauri ya Wilaya ya Madaba, mkoani Ruvuma, umekamilika kwa asilimia 100%. Mradi huu umegharimu jumla ...
Posted on: June 19th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Madaba imepongezwa rasmi kwa kupata hati safi katika Ukaguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/2024, hatua inayodhihirisha uwajib...
Posted on: May 30th, 2025
Ujenzi wa vyumba viwili (2) vya madarasa na matundu sita (6) ya vyoo katika Shule ya Msingi Kipingo iliyopo kata ya Lituta, Halmashauri ya Wilaya ya Madaba, umekamilika kwa asilimia 100.
Mradi huu ...