Posted on: May 18th, 2023
KAMATI ya Fedha Halmashauri ya Madaba wametembelea na kukagua miradi mbalimbali ikiwemo Nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Igawisenga iliyoghalimu kiasi cha shilingi Milioni 50 kutoka Serikali kuu.
...
Posted on: May 18th, 2023
SERIKALI imetoa shilingi Milioni 50 kwaajili ya ukamilishaji wa Zahanati katika kijiji cha Mahanje Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.
Kamati ya Fedha wametembelea na kukagua mradi huo wa zahanati uli...
Posted on: May 12th, 2023
MWILI wa aliyekuwa Mh.Diwani wa Kata ya Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba Mkoa wa Ruvuma Erick Mkorwe umezikwa leo.
Zoezi la mazishi limefanyika Nyumbani kwake kijiji cha Likarangilo na &nbs...