Posted on: February 19th, 2023
SHULE ya Sekondari Madaba Mkoa wa Ruvuma imepokea kiasi cha shilingi milioni 30 kutoka Serikali kuu kwaajili ya ukarabati wa maabara ya Physics.
Maabara hiyo inatarajia kukamilika Februari 20,2023 ...
Posted on: February 19th, 2023
HALMASHAURI ya Madaba imepokea fedha kiasi cha shilingi milioni 200 za mradi wa ujenzi wa nyumba 4 za walimu wa Shule ya Msingi ikiwemo Shule ya Msingi Kifaguro iliyopo Kata y...
Posted on: February 19th, 2023
MRADI wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika Shule ya Sekondari Madaba uliotekelezwa kwa shilingi milioni 40 umekamilika kwa asilimia 100.
Akisoma taarifa hiyo Mkuu wa Shule ya Sekondari Ma...