Posted on: April 19th, 2022
Mwenge wa Uhuru umezindua miradi nane katika Halmashauri ya Madaba Ukiwemo Mradi wa vyumba viwili vya Mdarasa Shule ya Sekondari Lipupuma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Sajidi Idris...
Posted on: April 18th, 2022
MWENGE wa Uhuru katika Halmashauri ya Madaba umezindua Kikundi cha Maarifa Mtyangimbole kinachojishughulisha na Ujasiliamali.
Mwenyekiti wa Kikundi hicho Annamaria Komba akisoma taarifa kwa kiongoz...
Posted on: April 14th, 2022
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2022 Ndugu Sahili Nyanzabara Geraruma amekugua miradi minne na kuzindua miradi minne yenye thamani ya shilingi Milioni 382.3 katika Halmashauri ...