• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika

Video

  • MADABA KUANZA KUCHIMBA MAKAA YA MAWE

    January 27th, 2023

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Sajidu Idrisa Mohamed amesema kampuni mbili za uchimbaji madini ya makaa ya mawe zinatarajia kuanza kuchimba madini hayo katika kata za Mtyangimbole na Gumbiro kuanzia mwezi Machi mwaka huu.Sajidu ametoa taarifa hiyo wakati anazungumza kwenye mkutano wa Baraza la madiwani la Halmashauri hiyo mjini Madaba

  • MADABA YAWEKA MKAKATI ENDELEVU UTUNZAJI MAZINGIRA

    January 21st, 2023

    MKuu wa Wilaya ya Songea Mhe, Pololet Mgema ameseam Halmashauri ya Madaba ilishajowekea utaratibu wa kila mwezi kupanda miti kwa lengo la kendelea ya kutunza vyanzo vya maji pamoja na mazingira kwa ujumla.Hayo ameyasema jana januari 20, 2023  katika kikao cha robo ya pili ya mwaka cha baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Madaba wilaya ya Songea kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri hiyo

  • MADABA KUANZA MSAKO WANAFUNZI NYUMBA KWA NYUMBA

    January 21st, 2023

    Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Pololet Mgema amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Madaba kwa kushirikiana na watendaji wa kata kuanza msako wa nyumba kwa nyumba kuwatafuta wanafunzi wa sekondari ambao hadi sasa hawajaripoti katika shule walizopangiwa Akizungumza kwenye mkutano wa Baraza la madiwani Halmashauri ya Madaba Mheshimiwa Mgema ameagiza hadi kufikia mwishoni mwa Januari mwaka huu wanafunzi wote wawe shuleni.Awali akitoa taarifa ya mahudhurio ya wanafunzi wa sekondari,Afisa Elimu Sekondari Maternus Ndumbaro amewataja jumla ya wanafunzi 1269 walipangwa katika shule za sekondari kuanza kidato cha kwanza ambapo hadi kufikia Januari 19,2023 ni wanafunzi 535 ndiyo wameripoti sawa na asilimia 42 ambapo asilimia 58 ya wanafunzi bado hawajaripoti.

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • Next →

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA ZA SENSA May 05, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 10, 2021
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • WANAFUNZI wa shule ya Sekondari Joseph Kizito Mhagama wapanda miti 800

    January 29, 2023
  • JUMUIYA ya wazazi Wilaya ya Songea waadhimisha miaka 46 ya CCM kwa kupanda miti Madaba

    January 29, 2023
  • Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    January 27, 2023
  • RUVUMA waadhimisha kuzaliwa kwa Dkt Samia kwa kupanda miti

    January 27, 2023
  • Angalia zote

Video

MADABA KUANZA KUCHIMBA MAKAA YA MAWE
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 10

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: info@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa