Posted on: August 6th, 2024
MKUU wa Wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa Rinda Salekwa ametembelea banda la halmashauri ya Wilaya ya Madaba katika maonyesho ya nane nane Mkoa wa Mbea na amejionea bidhaa mbalimbali za wajasiriamali....
Posted on: August 6th, 2024
Afisa Kilimo Kata ya Lituta Halmashauri ya Madaba Fransica ametoa elimu ya kilimo cha mboga aina ya kiloba inayochukua eneo dogo majumbani....