Posted on: April 20th, 2024
SHULE ya Sekondari Madaba day wamefanya maafari ya 12 ya kidato cha sita Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Mkoa wa Ruvuma.
Katika Maafari hayo Meneja wa Shamba la Miti Wino Grory Fotunatus amemwakili...
Posted on: April 20th, 2024
MKUU wa Shule ya Sekondari ya Madaba Kelvin Kalesa amezitaja changamoto zinazoikabili shule hiyo.
Hayo amesema katika maafari ya 12 ya kidato cha sita ikiwa changamoto hiyo ni pamoja na upungufu wa...
Posted on: April 19th, 2024
MBUNGE wa Jimbo la Madaba Joseph Mhagama amekabidhi viwanja viwili vyenye upana wa mita 40 kwa 30 kwaajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama.
Hayo amezungumza alipomkabidhi hati na kiapo katibu mkuu wa c...