Posted on: September 26th, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed anawatangazia watumishi wote kila jumamosi ya Mwisho wa Mwezi kufanyika Mazoezi ya Viungo.
Watumishi wote walioko karibu...
Posted on: September 26th, 2023
WAGANGA wa Tiba za asili Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wamepewa mafunzo ya kuzingatia miiko na maadili ya utoaji huduma kwa wagonjwa.
Mafunzo hayo yametolewa na Mratibu wa tiba asili na mba...
Posted on: September 26th, 2023
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Teofanes Mlelwa amefungua mafunzo ya waganga wa Tiba za asili na Tiba mbadala katika ukumbi wa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji na kuhudhuliwa na waganga 23.
...