Posted on: October 26th, 2025
Wasimamizi Wakuu wa Vituo vya Kupigia Kura pamoja na Wasimamizi Wasaidizi wameanza rasmi mafunzo ya siku mbili yanayofanyika katika Shule ya Sekondari Madaba, yakilenga kuwaandaa kwa majukumu ya...
Posted on: October 25th, 2025
Mkutano Mkuu wa 32 wa Wajumbe Wawakilishi wa WINO SACCOS umefanyika katika Ukumbi wa WIDA, kijiji cha Lilondo, Wilaya ya Madaba, ambapo umehudhuriwa na viongozi, watendaji na wanachama wa chama hicho ...
Posted on: October 25th, 2025
Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Jimbo la Madaba, Wakili Abdul M. Manga, ameongoza mafunzo maalum kwa Makarani Waongozaji wa Vituo vya Kupigia Kura yatakayohusika katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Mafu...