Posted on: June 6th, 2021
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema serikali ipo mbioni kutekeleza mradi wa kimkakati wa gesi asilia ya kimiminika (LNG) unaotekelezwa mkoani Lindi kwa gharama...
Posted on: June 5th, 2021
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema bungeni Dodoma kuwa serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuboresha uwekezaji hapa...
Posted on: June 3rd, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amekamilisha safu ya uongozi ngazi ya Mkoa baada ya kuwaapisha makatibu Tawala wa mikoa tayari kwa kuanza kazi rasmi ya kuw...