Posted on: December 18th, 2020
Mkoa wa Ruvuma umefanikiwa kuwapangia shule za sekondari watoto wote 27,135 waliofaulu mtihani wa kuhitimu darasa la saba mwaka 2020.
Akizungumza kwenye kikao cha kutangaza wanafunzi waliochaguliwa...
Posted on: December 14th, 2020
WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhemishiwa Seleman Jafo anatarajia kuanza ziara ya kikazi mkoan i Ruvuma kuanzia Desemba 16 mwaka huu.Kulingana na &n...
Posted on: December 14th, 2020
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameagiza matangazo ya vivutio vya utalii vilivyopo mkoani Ruvuma yawekwe katika kiwanja cha ndege cha Songea ili viweze kufahamika kwa watalii watakaokuwa...