• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MASHINDANO ya Umitashumta yazinduliwa Ruvuma

Posted on: July 21st, 2022

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akiwakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Songea  Pololet Mgema  amezindua mahindazo ya Michezo  ya umitashumta.

Uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya Matogoro Manispaa ya Songea ikijumuisha Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma na kujumuisha Shule za Sekondari na Msingi.

Akizungumza katika halfa hiyo ya uzinduzi   Mgema ametoa rai kwa Wakurugenzi wa Halmashauri kuwezesha Mashindano hayo ili waweze kufanya vizuri na kuchukua ushindi .

“Niwasisitize tunahitaji timu bora itakayo wakilisha Mkoa wetu na tunahitaji wanamichezo sahihi “.

Mgema amesma  halmashauri zote zihakikishe zinatoa wanamichezo kwa idadi iliyopangwa kwenye kambi ya Mkoa na kuwezesha shughuli zote zitakazofanyika ili Ruvuma iweze kuwa kinara katika Michezo .

Kwa upande wake Katibu tawala msaidizi  upande wa Elimu Emanuel kisongo amesema Mkoa tumeweka maandalizi ya kutosha na ni  muhumu sana kushiriki mashindano hayo.

Kisongo  ameipongeza Halmashauri ya Madaba kwa kuwa na ushirikiano na Mkoa na kuhakikisha Shule hiyo inakuwa na vigezo vya kutosha kwa kutoa eneo la hekari 50 na Shule hiyo kuwa na sifa .

Vile vile mashindano hayo ya umitashumta kwa mwaka huu 2022 kilele chake kitaifa yatafanyika Mkoa wa Tabora ya kuhusisha Mikoa yote hapa nchini.

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa