Posted on: November 16th, 2022
HALMASHAURI ya Madaba imeandikisha Wakulima 20,336 kwaajili ya zoezi la ununuzi wa mbolea ya Ruzuku hadi kufikia sasa wakulima waliosajiliwa kwa alama za vidole ni 12,881.
Hayo amesema ...
Posted on: November 16th, 2022
Mkoa wa Ruvuma umefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi bilioni 21 kutokana na madini ya makaa ya mawe katika kipindi cha mwaka 2021/2022.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thoma...
Posted on: November 15th, 2022
Waziri wa Madini Dkt, Doto Biteko amefungua mkutano wa Wadau wa madini ya makaa ya mawe unaofanyika katika ukumbi wa Familia takatifu Bombambili Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambao umewakutanisha w...