Posted on: August 28th, 2023
WANAFUNZI 92 wa Stashahada ya Afya ya Wanyama na uzalishaji wamehitimu katika chuo cha Lita Halmashauri ya Madaba.
Moja ya wahitimu Geofrey Kayangea kisoma Risala kwa Mgeni rasmi ambaye ni Mbunge w...
Posted on: August 26th, 2023
MRATIBU wa Magonjwa yasiyopewa kipaumbele Betty Mbawala na timu yake wamefanikiwa kutoa kinga tiba ya usubi katika maeneo mbalimbali yakiwemo makambi ya vibarua wa Shamba la miti Wino,na Sua Halmashau...
Posted on: August 26th, 2023
AFISA Ustawi wa Jamii John Mashauri wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba ametoa elimu ya kujiunga na Bima ya iChF nafuu kwa vibarua wa Shamba la Miti Wino.
Akizungumza na vibarua ha...