Posted on: November 22nd, 2023
HALMASHAURI ya Wilaya ya Madaba wamefanya kikao cha Liche cha maandalizi ya mpango wa bajeti ya afua za Lishe kwa mwaka wa Fedha 2024/2025.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Sajidu Idrisa Moh...
Posted on: November 19th, 2023
MKURUGENZI Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed anawakumbusha wananchi wote Novemba 19,2023 ni siku ya choo Duniani
Lengo la maadhimisho hayo ni kuzuia kuenea kwa Ma...
Posted on: November 19th, 2023
SERIKALI ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia imeleta shilingi Milioni 128 kwaajili ya ujenzi wa Hosteli ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu Shule ya Msingi Madaba.
Ujenzi huo umefikia hatua...