Posted on: June 27th, 2023
Kijiji cha Ifinga Kata ya Matumbi Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wameadhimisha siku ya Afya na Lishe kwa Mtoto na maadhimisho hayo hufanyika kila baada ya miezi mitatu...
Posted on: June 23rd, 2023
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kwa kupata hati safi Miaka sita mfululizo.
Hayo amesema katika kikao maalumu cha baraza la Madiwani cha kujadi...
Posted on: June 23rd, 2023
MWENYETIKI wa chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho ameipongeza Halmashauri ya Madaba kwa kupata Hati safi .
Akizungumza katika kikao maalumu cha baraza la Madiwani la kujadili...