Posted on: September 6th, 2021
MRADI wa Madarasa mawili ya shule ya Msingi Mtyangimbole umezinduliwa na kiongozi wa Mbio Maalumu za Mwenge wa Uhuru Lt Josephine Mwambashi na ametembelea mradi wa lishe pamoja na kukagua banda la Mal...
Posted on: September 1st, 2021
JUMLA ya miradi 34 yenye thamani ya Sh. Bilioni 12,626,057,642.40 inatarajiwa kufikiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2021 iliyotekelezwa na Serikali na kusimamiwa na wananchi kati...
Posted on: August 28th, 2021
MGANGA Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Jairy Khanga ametoa elimu ya chanjo ya homa kali ya mapafu (UVIKO 19) kwa waandishi wa habari na kuwaasa kutoa elimu sahihi kwa wananchi.
Akizungumza katika kikao hich...