Posted on: August 23rd, 2023
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo ametembelea eneo la uwekezaji wa Mbegu shamba la Silver land Ndolela lenye Hekta 5000 Halmashauri ya Wilaya ya...
Posted on: August 22nd, 2023
WATUMISHI Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wemejitokeza kupata kinga tiba ya Usubi wakiongozwa na kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Maternus Ndumbaro ambae ni Mkuu wa Idara ya Elim...
Posted on: August 22nd, 2023
Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Anita Makota amezungumza na wanawake wajasiriliamali katika Kijiji cha Ndelenyuma Kata ya Mkongotema Halmashauri ya Madaba.
...