Posted on: March 1st, 2023
UFUATILIAJI wa ufundishaji na upimaji wa wanafunzi katika Shule za Msingi Halmashauri ya Madaba unaendelea kwa mda wa miezi miwili kuanzia shule zilipofunguliwa Januari 9,2023.
Maafisa Elimu ...
Posted on: February 28th, 2023
MWILI wa aliyekuwa anakaimu nafasi ya Afisa Tarafa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Marehemu Showing Mapunda umeagwa leo na wananchi wa Halmashauli hiyo Nyumbani kwake.
Zoezi la kuaga mwili limefany...
Posted on: February 27th, 2023
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii mheshimiwa Mary Masanja ameweka silaha za jadi kwenye sanamu ya mashujaa ndani ya makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya mashu...