Posted on: November 12th, 2020
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli kesho Ijumaa Novemba 13 mwaka huu anatarajia kuzindua Bunge jijini Dodoma.SOMA zaidi
https://www.habarileo.co.tz/habari/2020-11-115fab...
Posted on: November 11th, 2020
PORI la akiba la Liparamba wilayani Nyasa mkoani Ruvuma limebarikiwa kuwa na ndege wa Taifa ambaye anachinjwa kwa kuomba kibali maalum kutoka kwa Mheshimiwa Rais.Paulo Protas ni Mhhifadhi...