Posted on: October 21st, 2024
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa orodha ya Majina ya wapigakura yamebandikwa leo tarehe 21,10,2024 ewe mwananchi fika kwenye kituo ulichojiandikisha
kuhakiki majina yako...
Posted on: October 20th, 2024
Serikali kupitia mradi wa BOOST imeleta fedha shilingi milioni 71 kwaajili ya ujenzi wa madarasa mawili ya awali na matundu sita ya vyoo...