• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

WANAWAKE Kata ya Ngumbiro walivyopewa Elimu ya Jukwaa

Posted on: August 31st, 2023

IDARA ya Maendeleo ya Jamii Katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wameendelea kuhamasisha wananchi juu ya uzinduzi wa jukwaa la Wilaya linalotarajiwa kuzinduliwa Septemba 28/2023.

Anita Makota akiongoza idara hiyo ameongozana na Samwel Mtweve Afisa maendeleo ya jamii msaidizi na kukutana na uongozi wa UWT pamoja na Diwani  wa Viti maalum Zawadi Nyoni kijiji cha Ngadinda pamoja na viongozi wa Halmashauri ya Kijiji ,Kijiji cha Ngumbiro.

Makota amesema katika ziara hiyo wamehamasisha wanawake kuhuduria siku ya uzinduzi wa Jukwaa hilo ambalo litapelekea wanawake kuonyesha biashara zao.

“Tumehamasisha wanawake wa Kata ya Ngumbiro siku ya uzinduzi wa Jukwaa la wanawake waje kwenye maonyesho na bidhaa zao zitakazopelekea upatikanaji wa fursa za kibiashara”.

Hata hivyo katika uhamasishaji huo wameongea na wajane na Yatima watambulike ili waweze kupata fursa mbalimbali zinapotokea pamoja na kuendeleza mshikamano.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Agosti 31,2023.             

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa