• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MKUU wa Wilaya ya Songea aongoza zoezi la upandaji Miti Madaba

Posted on: January 17th, 2024

MKUU wa Wilaya ya Songea Wilman Ndile ameongoza zoezi la upandaji miti katika Shule ya Sekondari Joseph Mhagama Halmashauri ya Madaba.

Akizungumza katika zoezi hilo ametoa rai kwa wananchi kuendeleza zoezi la upandaji miti ya matunda katika maeneo mbalimbali hususani katika maeneo ya Shule.

Hata hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Sajidu Idrisa Mohamed amesema zoezi hilo limekuwa endelevu katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kwa kupanda miti katika mazingira mbalimbali.

Amesema kufuatia agizo la Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas kuhakikisha wanapanda miti yakutosha ya matunda katika maeneo ya shule pamoja na utunzaji wa Mazingira.

Kwa upande wake Afisa misitu shamba la miti Wino (TFS) Mustapher Yange katika zoezi hilo amesema wametoa miche 2500 ya matunda na   mizambarau kwaajili ya utunzaji wa vyanzo vya maji.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Januari 17,2024.

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa