MKUU wa Maendeleo ya Jamii Anita Makota ameongea na vijana wa Boda boda Kata ya Mahanje Halmashauri ya Wilaya Madaba kuhusu kupinga Ukatili wa Kijinsia.
Akizungumza na Vijana hao amewaasa kuepuka kuwapa wanafunzi Mimba za utotoni ambayo itawasababishia watoto hao kukatiza ndoto zao na kupelekea vijana wanaofanya uhalifu huo kwenda jera badala yake wafanye kazi kwa bidii na kuachana na kufanya mambo yasiyo faa.
Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba
Agosti 31,2023
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa