HALMASHAURI ya Wilaya ya Madaba wamefanya Mkutano wa Baraza la Madiwani kwaajili ya Kupitia taarifa za Hesabu za Mwisho za Serikali za Halmshauri.
Kikao hicho kimefanyika leo agosti 30/2023 katika ukumbi wa Halmashauri na kupitisha taarifa hiyo ya mwaka wa Fedha ulioisha Juni 30/2023.
Mkurugenzi Mtendaji Sajidu Idrisa Mohamed akiwakilishwa na Kaimu Mkurugenzi Maternus Ndumbaro amelipongeza Baraza hilo kwa kupitisha taarifa hiyo ya Hesabu za Serikali.
Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
Agosti 30,2023.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa