• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

DED Madaba awakarisha wananchi kufanya mazoezi kwaajili ya kupokea Mwenge wa Uhuru Juni 15,2024

Posted on: June 1st, 2024

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Sajidu Idrisa Mohamed ameongoza mazoezi ya viungo kwaajili ya maandalizi ya kupokea Mwenge wa uhuru unaotarajia kuingia katika Halmashauri hiyo  Juni 15,2024.

Akizungumza mara baada ya mazoezi hayo amewakarisha wananchi wote kujiunga na mazoezi hayo pamoja na kupokea Mwenge wa Uhuru

 “Nitoe wito kwa vijana muwe mfano bora licha ya mazoezi ya Mwenge tunaweza kujumuika kufanya mazoezi kila siku tutajiepusha na vishawishi vibaya”.

Aidha Mkurugenzi ametoa rai Afisa utamaduni wa Halmashauri hiyo kuanzisha bonanza la timu zote za Halmashauri hiyo pamoja na timu ya watumishi kuandaa shindano kabla ya kupokea Mwenge wa Uhuru ambapo mshindi wa kwanza atapata mbuzi.

Mohamed ametoa rai kwa watumishi wote wa Halmashauri hiyo na wananchi kuendelea na mazoezi ya viungo kila siku saa 11 alfajili.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Juni 1,2024.

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa