• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MADABA yavuka lengo utoaji wa chanjo ya Surua na Rubella

Posted on: August 29th, 2024

HALMASHAURI ya Wilaya ya Madaba imevuka lengo la utoaji wa chanjo ya Surua na Rubella  jumla ya watoto 8010 sawa  na asilimia 115.

Akizungumza katika kikao cha  tathimini ya utekelezaji  wa kampeni ya chanjo ya surua na Rubella kwa watoto wenye umri kuanzia miezi 9 hadi 59 mratibu wa chanjo mwenzeshaji wa chanjo Alex Magasha amesema surua na Rubella  yanasababishwa na Virusi vya morbillvirus vinavyoenea kwa haraka na kuathiri watu wa lika zote hasa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.

Magasha amesema magonjwa haya  kuenea kwa njia ya hewa  hususani mgonjwa  anapokohoa au kupiga chafya na maambukizi kuenea kwa haraka  sehemu zenye msongamano.

Hata hivyo amesema ugonjwa wa Surua na Rubella unadalili kama vile homa,kutokwa na upele vidogo vodogo  ambavyo huanza usoni,nyuma ya masikio na kusambaa mwili mzima,mafua na kikohozi na macho kuwa mekundu na kutoa machozi.

“Madhara ya ugonjwa wa Surua na Rubella masikio kutoa usaha  na kusababisha kuto sikia,Nimoni,Utapia mlo,vidonda vya macho vinavyoweza kusababisha ulemavu wa kuto kuona,ulemavu kwa mtoto na kupoteza maisha”.

Amesema utekelezaji wa wa kampeni katika halmashauri ya Wilaya ya Madaba ilitekeleza zoezi la utoaji wa chanjo ya Surua na Rubella katika vituo 21 ambavyo vinatoa huduma za chanjo.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Agosti 28,2024.

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa