HALMASHAURI ya Wilaya ya Madaba imepata wawekezaji watakaojenga viwanda vya kuchakata miti ya kupandwa kutoka Nchi ya China.
Mkuu wa Wilaya ya Songea Kapenjama Ndile amesema Serikali ya Tanzania inafanya kila linalowezekana kuhakikisha sekta binafsi inajenga viwanda katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba .
“Wameshajitokeza wawili mmoja ameanza kujenga mtakuwa mnavuna miti na maganda yake unapima kwenye kilo unauza na unapata hela ambayo itabadilisha maisha ya wananchi “.
Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
Januari 16,2025.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa