• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Utawala
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika

WANANCHI Madaba wajitokeza kuchimba Msingi wa Ujenzi wa Soko

Posted on: September 16th, 2023

SERIKALI ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia  imeleta fedha kiasi cha zaidi ya Shilingi Milioni 190 kwaajili ya ujenzi wa Soko kupitia mradi wa TASAF Halmashauri ya Madaba.

Wanachi  wa Kata ya Lituta na Mahanje  leo Septemba 16,2023 wamejitokeza Kuchimba Msingi wa  ujenzi wa Soko hilo litakalo wasaidia wananchi na wafanyabiashara kufanya kazi zao katika Mazingira rafiki.

Soko hilo lita rahisisha maisha ya wananchi kujipatia mahitaji  kwa urahisi ikiwa mwanzo wananchi walikuwa wanajipatia mahitaji yao  katika Wilaya za karibu Njombe na Songea.

Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Septemba 16,2023

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • RAIS Samia atoa Milioni 90 ukarabati wa Madarasa 6 Ifinga

    September 24, 2023
  • MWENYEKITI Madaba aagiza kuezeka Kituo cha Afya Ifinga Mara Moja

    September 24, 2023
  • WANANCHI Lilondo wajitolea kujenga Nyumba 6 za walimu

    September 23, 2023
  • WANANCHI Ifinga walivyojiwekea benki tofari 400,000 kwaajili ya Ujenzi wa Miradi ya Serikali

    September 23, 2023
  • Angalia zote

Video

MADIWANI MADABA WAADHIMIA KUSIMAMIA MIRADI
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 10

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: info@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa