• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

WANAFUNZI Madaba walivyopewa Elimu ya msaada wa Kisheria

Posted on: January 25th, 2024

Kufuatia uzinduzi wa Wiki ya Msaada wa Kisheria wataalam Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wametoa elimu kwa wanafunzi wa Shule za Msingi.

Akitoa Elimu kwa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Madaba,Mkwera na Njegea Polisi Mkaguzi Msaidizi Antoni Mtokambali amewaeleza wanafunzi kuepuka mazingira ambayo watoto wanafanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia.

Amesema Mazingira hayo ni pamoja na maeneo ya Michezo (PS),mazingira ya usiku,kutorokea porini pamoja na Barabarani.

Hata hivyo amewaeleza Madhara ya ukatili kwa watoto ikiwa suala hilo kusababisha kutoendelea na masomo,kuumizwa kijinsia,Mimba za utotoni,magonjwa pamoja na kifo.

Kwa upande wake Afisa Ustawi wa Jamii Halmashauri ya Madaba Shani Kambuga ameelezea haki ya mtoto katika jamii ikiwa mtoto anahaki ya kulindwa,kupatiwa malezi bora,kuishi,kupumzika,haki ya kuheshimiwa na kuthaminiwa,kutobaguliwa, kupewa Jina na Utaifa,huduma bora,kushiriki michezo na shughuli za Nyumbani,haki ya kutoa maoni pamoja na kulindwa.

Kambuga amesema wajibu wa mtoto katika jamii pamoja na kufanya kazi kwaajili ya mshikamano wa familia,kuheshimu wazazi,walezi na wakubwa,kutunza na kuimarisha mshikamano wa familia pamoja na kuimarisha tamaduni.

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba

Januari,25,2024. 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa