MBUNGE wa Jimbo la Madaba Joseph Mhagama amekabidhi viwanja viwili vyenye upana wa mita 40 kwa 30 kwaajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama.
Hayo amezungumza alipomkabidhi hati na kiapo katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi Imanuel Nchimbi alipozungumza na wananchi wa Jimbo la Madaba leo katika viwanja hivyo.
“Tunakusudia kukabidhi hati na kiapo cha viwanja na nimefanya jitihada kuhakikisha chama kinawafikia wanachama wanafikiwa nimetoa pikipiki 8 kwa makatibu kata zote nane na leo nakabidhi baiskeli 45 kwaajili ya makatibu ngazi ya tawi”.
Kutoka kitengo cha Mawasilino Halmashauri ya Madaba
Aprili 19,2024.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa