• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

RUVUMA imetisha kwa Viwango vya Ujenzi wa Madarasa 448

Posted on: December 18th, 2021

MKOA wa Ruvuma umetisha kwa Utekelezaji wa Miradi ya Mpango wa  Maendeleo kwa ustawi wa Jamii (COVID -19) na kufikia asilimia 96.

Hayo amesema Naibu Waziri wa Tamisemi David Silinde mara baada ya kukagua miradi hiyo na kuangalia viwango vya ujenzi amesema Ruvuma ipo mbele akilinganisha na Mikoa mingine.

’’Sina cha kusema nampongeza Mkuu wa Nkoa,Ma DC,Wabunge pamoja na watumishi wote kwa kusimamia vizuri Miradi ambayo hata Rais Samia amehimiza,nina waahidi kuwaletea miradi mingine’’.

Silinde amesema mwaka 2022 wanafunzi watakaoanza kidato cha kwanza madarasa na madawati yanawasubilia,imekuwa tofauti na miaka mingine wanafunzi walikuwa wanasubilia madarasa yajengwe kupitia nguvu za wananchi ili waanze masomo.

Afisa Elimu Taaluma Mkoa wa Ruvuma Juma Fulluge amesema ujenzi wa Miradi ambayo ni asilimia 80 ya Madarasa  yaliyojengwa yatasaidia kuondoa changamoto ya Wanafunzi kukosa kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2022.

Fulluge amesema Mkoa wa Ruvuma ulikuwa na asilimia 20 ya Madarasa na Upungufu ulikuwa asilimia 80 ambapo Serikali imejenga Madarasa 448 kupitia Mpango wa Maendeleo wa Taifa  na mapambano dhidi ya Uviko 19.

Amesema mwaka 2021 walifanya mtihani 39,614 na wamefaulu 29, 314 sawa na asilimia 74 na kutarajia kujiunga kidato cha kwanza  kwa wakati kupitia Madarasa yaliyojengwa na kuondoa upungufu wa Vyumba vya Madarasa.

,,Mkoa umepokea fedha  za Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi  wa Jamii kiasi cha Shilingi Bilioni kumi laki tatu ishirini elfu kwaajili ya Vyumba vya madarasa 448’’.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Ofisi ya Mkoa wa Ruvuma

Desemba 17,2021 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MADABA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    June 19, 2025
  • UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 6 YA VYOO SHULE YA MSINGI KIPINGO WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 100

    May 30, 2025
  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa