AFISA Elimu Elimu Maalumu Tedy Sanga Halmashauri ya Madaba ametembelea Kata ya Lituta na kubaini watoto wenye Ulemavu 4 waliofichwa ndani.
Mara baada ya kufika katika nyumba hizo Sanga ametoa rai kwa wazazi hao kuhakikisha wanawapeleka shule watoto hao ili waweze kuchangamana na wengine kwaajili ya kujifunza.
“Msiseme wataenda kufanya nini shuleni hao hata wakipata fursa ya kucheza na wenzao watajisikia vizuri na wataona nuru na kuchangamka kimwili”.
Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba
Februari 19,2024.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa