• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
MADABA DISTRICT COUNCIL
MADABA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Department and Section
  • Investment
  • Huduma
    • Huduma ya Kwanza
    • Huduma ya Pili
  • Councillors
  • Miradi
    • Mradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio
  • Divisheni

MBUNGE Madaba akabidhi gari ya wagonjwa Kituo cha afya Mtyangimbole

Posted on: May 26th, 2024

MBUNGE  waJimbo la Madaba Joseph Mhagama amekabidhi Magari ya wagonjwa kituo cha afya Mtyangimbole.

Mbunge akizungumza katika makabidhiano hayo amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuleta magari mapya mawili Katika Jimbo hilo ambalo moja litatumika kituo cha afya mtyiyangimbole.

“Hapa tumejenga kituo cha afya miaka nane iliyopita palikuwa pori ni katika awamu yake akiwa makamu wa Rais tulipata milioni 500 kwaajili ya ujenzi wa kituo cha afya na katika awamu ya sita akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumemaliza kazi zote na ametuletea gari ya wagonjwa tunamshukuru sana”.

Hata hivyo Mhagama ametoa rai kwa wananchi kuendelea kumwombea Rais Samia kwa kuwa msikivu kwa kuleta miramdi mbalimbali katika Jimbo la Madaba ikiwemo miradi ya Elimu,Afya na mingine mingi.

“Leo Mganga mkuu wa Kituo cha afya mtyangimbole tunakukabidhi hii gari tunaomba uitunze na kutunza hiki chombo ni kumheshimu Rais Samia.

Hata hivyo amempongeza Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo kwa kuendelea kuchapa kazi na Halmashauri kuendelea kupata hati safi kila mwaka.

Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Madaba

Mei 27,2024.

 

Matangazo

  • VIGEZO vya kupata Lesen May 17, 2022
  • Angalia zote

Matangazo Mapya

  • Uboreshaji wa Daftari la kudumu jimbo la Madaba

    January 20, 2025
  • Jitokeze kujiandikisha

    January 20, 2025
  • Chwaya atoa rai kwa walimu wa awali kutekeleza agizo la Serikali

    January 18, 2025
  • MARATIBU wa mradi wa BOOST Madaba amshukuru Rais Samia

    January 18, 2025
  • Angalia zote

Video

WADAU WATOA MAONI JUU YA MAADILI KWA VIJANA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ruvuma-webportal
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Nyasa District Council
  • Ega Website
  • Namtumbo District Council
  • Mbinga Town Cuncil
  • Songea District Council
  • Songea Municipal Council

Kurasa Mashuhuru

  • NECTA
  • Tanzania Revenue Authority
  • Tanzania Forest Agency
  • Watumishi portal
  • Livestock Training Agency (LITA) Madaba
  • Parliament

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

    MADABA - RUVUMA

    Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA

    Simu: 0252951052

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@madabadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa