Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt.John Magufuli imetoa zaidi ya shilingi bilioni 3.7 kwa ajili ya kukarabati sekondari kongwe nne zilizopo mkoani Ruvuma.Majaliwa ameyasema hayo baada ya kukagua ukarabati wa sekondari kongwe ya Tunduru ambayo ilijengwa mwaka 1978.SOMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=uwA2UgQAl4s
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa