MAAFISA uchunguzi kutoka ofisi ya Mkoa wa Ruvuma (PCCB) wametoa mafunzo ya usimamizi wa Miradi kupitia Force account kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.
Mafunzo hayo yameongozwa na Afisa uchunguzi Simon Obunde yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri.
Naye Kaimu Mkurugenzi ambaye ni Mkuu wa Idara ya Fedha Madya Magesa ametoa rai kwa watumishi hao wanaposimamia miradi ya maendeleo kuzingatia Sheria,taratibu na kanuni ili kuepuka kupata changamoto za utekelezaji wa Miradi.
Kutoka kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Madaba.
Januari,10,2024.
MADABA - RUVUMA
Anwani ya Posta: 38 BARABARA YA KIFAGURO MAGINGO, P.O.BOX 10, 57186 MADABA, SONGEA
Simu: 0252951052
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ded@madabadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Madaba.Haki zote zimeifadhiwa